Mwanadada mkali wa miondoko ya dancehall Cinderella Sanyu aka Cindy wa
nchini Uganda amevutiwa kufanya kolabo na kundi maarufu la Urban Boys
linalowika nchini humo.
Msanii wa nchini Uganda Cindy Sanyu
Cindy
ameelezea kuwa anafurahishwa na jitihada za kundi hilo ambapo ameweka
nia yake ya kufanya kolabo na kundi hilo linalovuma na kujulikana Afrika
Mashariki.
Cindy amekubali kuwa nyimbo za kundi hilo maarufu zinasikika kila kona nchini Uganda na yupo tayari kufanya nao kazi siku za hivi karibuni.
Cindy amekubali kuwa nyimbo za kundi hilo maarufu zinasikika kila kona nchini Uganda na yupo tayari kufanya nao kazi siku za hivi karibuni.

0 comments:
Post a Comment