Mwigizaji maarufu kutoka Nigeria, Desmond Elliot amekuwa nchini Kenya
kwa ajili ya kazi ya kupiga picha za tamthilia mpya ambayo inabeba visa
mbalimbali vya kumulika masuala ya siasa na rushwa katika jamii.
Muigizaji wa filamu wa Nigeria Desmond Elliot
Kazi
hii yenye kiwango cha kimataifa imekuwa ikifanyika huko Muthaiga ambapo
ndipo yalipo mandhari sahihi ya maudhui ya kazi hii ambayo inatarajia
kuwa na msisimko wa aina yake pindi itakapokamilika.
Desmond katika kazi hii anashirikiana na waigizaji wengine mahiri kutoka nchini Kenya, akiwepo Gerald Langiri katika orodha hiyo.
Desmond katika kazi hii anashirikiana na waigizaji wengine mahiri kutoka nchini Kenya, akiwepo Gerald Langiri katika orodha hiyo.

0 comments:
Post a Comment