
Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akisalimiana na mdogo wa marehemu
Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini
Dar es Salaam. Pembeni ni Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao
marehemu alikuwa mjukuu wao.
Mheshimiwa Lowassa alikwenda nyumbani kwa mwanasiasa huyo mkongwe eneo
la Uzunguni mjini Dodoma kumpa pole ya kufiwa na mjukuu wake huyo.

Mzee Ndejembi akimuelezea Mhe. Lowassa mkasa mzima wa kifo cha mjukuu
wake, Betty Ndejembi aliyeteswa na kuuawa na watu wasiyojulikana jijini
Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment