Thursday, October 23, 2014

Akon na D'banj waja na kazi mbili

Mziki wa Africa unazidi kupaa na kuendelea kufanya poa zaidi hii inakuja baada ya kuonekana wasanii wa africa wakiendelea kufanya poa duniani.
Kwasasa naku update kunakazi zinakuja mbili ambazo zimefanya nje ya bara la Africa zikiwakutanisha Akon na D banj ambazo ni Frosh na Feelin.
Kwasasa wasanii hawa wawili wako location wakifanya video za ngoma zote huko atlanta na ni kwamujibu wa Akon kwenye  istagram alivyo post wakiwa na D'banj

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...