Kwa muda mrefu sasa beyonce na kim kardashian hawana maelewano mazuri ijapokuwa waume zao namzungumzia jay z na kanye west ni marafiki.
Weekend hii kanye west ameitumia vizuri kuongea na jay z ili kuweza kuwa fanya wake zao waweze kuwa marafiki kama walivyo wao marafiki na swala hili limetoka nje kwa kupitia mtu wa karibu wa marafiki hawa aliyesema kiukweli jay z anaunia sana kuona mke wake haongei na mke wa kanye west wakati yeye na kanye west na marafiki na wanaongea .
Swali linarudi je kanye west harakati alizo anzisha atafanikiwa?
0 comments:
Post a Comment