Mjengo wa wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’
Wanandoa, muigizaji Flora Mvungi ‘H.Mama’ na mwanamuziki Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ wamemfunika mwigizaji Wema Sepetu kwa kupanga ghorofa.
Akizungumzia mjengo huo
walioupanga maeneo ya Mbezi-Jogoo, jijini Dar, H. Mama alisema yeye na
mume wake wameamua kupanga nyumba hiyo si kwa sababu ya kumfunika mtu
bali wanapenda kuwa huru na kuishi vizuri.
“Hatushindani
na mtu katika maisha yetu bali cha msingi tunaangalia nafsi zetu
zinataka nini, kuhusu gharama yake, niache kidogo,” alisema Flora. Wema
amepanga nyumba ya kawaida maeneo ya Kijitonyama jijini Dar.

0 comments:
Post a Comment