Baada ya kukatika kwa umeme majira ya saa moja na kusababisha karibu
mikoa yote ambayo imeunganishwa na gridi ya taifa kukosa nishati ya
umeme na kusimamisha shughuli za Bunge ikiwemo zoezi la upigaji wa kura
ya Bajeti ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Nchini,
TANESCO, Mhandisi Felchesim Mramba ametoa ufafanuzi juu ya hilo na
kubainisha kuwa mafundi wa shirika hilo wanaendelea kufanya uchunguzi.
Video ya ITV iliyopachikwa hapo chini ina taarifa zaidi...
0 comments:
Post a Comment