Sunday, July 3, 2016

Akata maiti kichwa mbeya

Katika hali ya kushangaza wengi mwanaume mmoja ambaye ni mfanyabiashara huko Mkoani Mbeya, amekamatwa na kichwa cha binadamu baada ya kufukua kaburi na kachukua kichwa cha marehemu, inadaiwa alifikia maamuzi hayo ili afanikiwe .

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...