Friday, October 21, 2011

T.I. NA B.O.B. KUFANYA KAZI WOTE…


Ti amesema yeye na Bobby Ray washarecord nyimbo pamoja na wanampango wa kuachia album titled, 'The Man and the Martian'.
T.I. amesema kuwa hana muda wa kupoteza kurudi kwenye game baada yakuwa tofauti na game kwa mwaka. Amesema kuwa amefanya  kazi kadhaa na B.O.B. na ushirikiano ambao utakuwa na manufaa makubwa badaye tupo na wazo hili la kufanya album muda mrefu sana na mwisho wazo limekuwa.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...