AKON
MALI
Akon alifanya mzingo wa mwisho mwaka 2008 wa album msanii huyu toka pande za Senegal ambaye anaishi inchini amerika na anafanya kazi zake zote huko za uproducer pamoja na mziki kwenye lable yake amemweka kichwa cha gospel inchini marekani anayejulikana kama mali.
“nashukuru mungu na mungu ambariki katika kazi zake kama ceo wa Konvict Muzik”alifunguka mali. Jamaa Alisha fanya kazi na wasani kibao wakubwa kupitia label yake na wanamafanikio makubwa kwasasa.
0 comments:
Post a Comment