Wiki mbili zilizopita Chiku alienda Mombasa aka shoot ngoma inaitwa Kipa alifanya na lady b toka Kenya
Jana ameshoot ngoma yake ya CHIKU ANAONGEA ambayo amemshirikisha Chid Benz kumbuka ni miaka miwili imepita tangu afanye video pia kuna ngoma inakuja inaitwa Hi Haters amefanya Grandmaster Record chini ya producer JOHN B.
0 comments:
Post a Comment