Wednesday, November 2, 2011

UTATA WA NGOMA TENA KWA BOB JUNIOR


Kwenye ngoma ya chaupele ya kwake tanzanite inasemekana kuwa amepewa bit na bob junior kipindi bob kagombana na diamond' wakati bob alipoulizwa kuhusu hilo alikiri kuwa kampa biti tanza9t ila anasema hakumpa afanyie kazi alimpa askilize asikilize tu.
swali langu je inawezekana vp producer ampe msanii biti ya msanii  mwengine akaisikize?

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...