Majamaa wamezungumzia ngoma hii kuwa inamaana kubwa sana kwao na pia nikolabo yao yamaana sana nakuongeza kuwa kwa “wale wote wanao dis nikwamba wakae wakijuwa kuwa wasiongee mambo wasiyo yajuwa na kusema nina uwezo wakufanya kazi si wakumdisi mtu kwani kwenye mistari iliyopo kwenye hiyo ngoma haimwongelei mtu kwani fat joe alivyo sema “nakuongeza kuwa hajui aelezeeje jinsi anavyo feli hiyo ngoma.
T.I mwenyewe naye ameongezea kuwa ngoma hii inaelezea kila kitu kuhusu maisha kwa ujumla wote hakuna kumdisi mtu yeyote ndani yake.
0 comments:
Post a Comment