Girl on fire Alicia keys jana aliweza kuweka wazi ujasiri wake kufanya interview kwani jana alikuwa kwenye show ya David Lettermans ambaye pia nimmoja kati ya watu waliomshauri Alicia keys asije akavaa tena nguo za ajabu kwenye kipindi kama chake kwani watoto wanaangalia kipindi hicho.
0 comments:
Post a Comment