Thursday, December 20, 2012

KEM yuko tayari



Kem yuko tayari kuwasaidia watoto yatima kwani wanahitaji sana msaada toka kwetu na kuongeza kuwa atatoamsaada wa chakula na kuwa nyoa nywele pia na kusema kwakuwa ndo fun yake ataiita hiyo ivent kuwa ni hoob na itachukuwa watoto 19 kwanza wa chekechea na kuwaweka kwenye mchakato huo.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...