Thursday, December 20, 2012

t.i. aongea na dj drama



moja kati ya interview kal jana ilikuwa ni ya jamaa anaye tamba kwasasa na album yake ya Trouble Man na mzungumzia T. ambaye jana alkuwa na wakati mgumu sana baada ya kubanwa na maswali nakujikuta akifunguka kuhusu ngoma yake ya addresses ambayo siku mbili nyuma jamaa alifunguka nakusema kuwa hajamzungumza mtu katika ngoma hiyo ila jana akamtaja rapper wa atlant Alley Boy ambaye mara kwa mara walikuwa na ubishani wa maneno katika kazi zao hata masha yao yak la siku na juzi hapa Alley alipost picha ya video kwenye page ya twitter ikimdiss T.I.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...