Baaada ya kuwa na umpinzani mkubwa kwenye
game ya mziki mpaka kuto kuelewana kabisa kati ya diamond platinum na tanzanite
wamefanya kazi ya pamoja walioiita MAPENZI
na mmiliki halali ni diamond
Fuatilia habari kwa undani kabla ya kupost kwenye blog kubwa kama hii, hyo ngoma cyo official, wameiba ngoma ya Diamond na kuipeleka Zanzibar kisha Tanzanite akaingiza vocal bila Kumtaarifu Diamond. @youngzisty Am out..
1 comments:
Fuatilia habari kwa undani kabla ya kupost kwenye blog kubwa kama hii, hyo ngoma cyo official, wameiba ngoma ya Diamond na kuipeleka Zanzibar kisha Tanzanite akaingiza vocal bila Kumtaarifu Diamond.
@youngzisty Am out..
Post a Comment