Joe Jackson baba mzazi wa Michael Jackson jana alikuwa na mahojiano makali na na kusema kitu kwa Piers Morgan naaliongea kwa uchungu sana kuwa kiukweli alijitahidi kumwahi Michael kabla ajafa lakini hakufanikiwa kumuwahi na akawa ametangulia mbele za haki.
0 comments:
Post a Comment