Moja kati ya story
niliyo jaribu kuifatilia kwa muda mrefu ni story ya rihhana na rafiki yake wa
muda mrefu namzungumzia Katy Perry ambako ilisemekana kuwa tangu rihhana
arudiane na chriss brown marafiki hawa hawaongei kabisa kwani katy perry
alimwambia asije akarudi kwa jamaa na kwenye tuzo za mtv award za mwaka jana
katy alimwona rihanna akiss na chriss alipo muliza alimjibu kuwa its just a
kissare no longer on speaking terms since Rihanna went back to Chris Brown.
0 comments:
Post a Comment