Baada
ya kusemekana alifanya makusudi kutokea kwenye stage kwenye concert jiji london
Justin
Bieber ameandika kwenye ukurasa wake
wa Twitter na kupinga vikali maneno hayo.
Justine
aliandika kuwa kuna watu wanamletea fitina katika kazi zake na kumwekea vikwazo
kwenye maonyesho yake kila siku naamini kuwa ipo siku yatakwisha kiukweli
nilichelewa kwenye stage kutokana na mambo yaliyo kuwa nyuma ya stage lakini
kuhusu watoto kutoroka muda shule sikweli na kusema kwamba ticket nilinunua
mimi zote hapana ila watu walinunua.
0 comments:
Post a Comment