Monday, March 4, 2013

Happiness millen magese

 Aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya nyuma ambae kwa sasa anajishughulisha na shughuli za Uanamitindo akiweka na makazi yake nchini Marekani,

mwanamitindo Happiness Millen Magese ametoa mchango wa jumla ya Tsh. Milioni 15, huku Millioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa Shule Ya Mjimwema iliyoko mkoani Mtwara na Millioni 5 ikiwa kwa ajili ya utengenezaji wa madawati ya Shule ya Lililungu nayo pia ikiwa mkoani humo.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...