Monday, May 19, 2014

picha chafu za kim kardashian zatumiwa na ray j kutafuta zawadi ya kumpa

0516_kim_kanye_ray_j_tmzzikiwa zimebaki siku chache tushuhudie harusi ya kanye west na kim kardashian vituko vinazidi kujitokeza weekend hii kutoka kwa ray j baada ya kuwakabizi kim na kanye west zawadi ya check ya fedha kiasi cha dola $47K na hii fedha ni makusanyo ya miezi  4 tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2014 kutokana na mauzo ya picha za ngono alizo fanya yeye na  Kim.

pamoja na hayo yote ray j hajajali kwa kuona pamoja ya kwamba video hiyo ni ya miaka 7 iliyo pita ila bado anaisambaza na amefikia hatua ya kuweka hata jinsi ilivyo kuwa kwa upande wa mauzo yalivyo kuwa angalia hapa mauzo ya kila mwezi ya video hiyo yalivyo kuwa                                                                                   -- January  $6,135.60
-- February $20,097.31
-- March $9,674.76
-- April $10,931.52
-- TOTAL:  $46,840.13

ila kwa mujibu wa Vivid Entertainment wamefunguka kwa email ya shidadjz kuwa mpaka sasa kilicho ingia ni kiasi cha $50 MILLION!
 swali linakuja je kim na kanye west watakubalizawadi hiyo0516_kim_k_superstar_cover

No comments:

Post a Comment