Katika kuendeleza mapambano zidi ya kukpambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kurudisha hali ya mko wa kilimanjaro wa kazi wa mtaa wa viwanda waliamua kupanda miti katika eneo la wazi miezi kadhaa iliyopita leo katiza yangu nimepita katika eneo hilo nikakuta miti imestawi
0 comments:
Post a Comment