Monday, June 23, 2014

Ben pol kuachia kazi mpya july 27

Msani na mkali wa r&b tanzania ben pol amefungua na kusema kuwa mwezi ujao tarehe 27 ataachia kazi aliyofanya na mwalimu waa chuo cha ssau anayefundisha masomo ya sayansi ya jamii katika chuo cha sauti.ngoma inaitwa upendo na kafanya na man water producer

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...