Monday, June 23, 2014

Dan kufanya colabo na P Square

Msanii Dan Flevor kutoka nchini Uganda, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha kolabo yake na kundi la muziki lenye mafanikio makubwa Afrika, P Square.

                                     Dan Flavour akiwa katika pozi
Dan Flevor amesema kuwa, hakutaka kuwapatia mashabiki wake taarifa hizi mpaka pale ambapo kazi yenyewe itakuwa imekamilika, ila ameona kuwa ni muhimu kuwatayarisha kwa taarifa za ujio wa kazi hii kubwa.
Kazi hii ni moja ya hatua kubwa kwa msanii huyu ambaye ana matumaini makubwa ya kuongeza mashabiki nje ya mipaka ya Uganda pindi kolabo hii itakapotoka rasmi.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...