Friday, June 27, 2014

Picha 6 za show ya run tour miami ya jay z na Beyonce

Usiku wa kuamkia leo katika mji wa miami kulikuwa na show ya run tour yake beyonce na jay z ambako katika show hiyo usalama ulikuwa asilimi mia na jay z alikuwa mtu mwenye mzuka kuliko beyonce

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...