Monday, June 30, 2014

Uchaguzi wa raisi wa chuo cha ushirika leo ilikuwa hivi

Kampeni zilikamilika jana jioni chuoni kwa marisi kunadi sera na kwamba kila mgombea kuomba watu kujitokeza kwenye vituo vya kupiga kura stay hapa nikupe mshindi.saluti kwa dismas raisi wa tanga muccobs kwa picha

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...