Mwimbaji wa Nigeria, Wizkid aambaye alilikuna sikio la Chris Brown na
kuamua kufanya nae kazi anazidi kukubalika kwa watu ambao Chris
anamtambulisha kwao.
Siku chache baada ya mpenzi wa Chris Brown, Karrueche Tran kuonesha
kumkubali sana msanii huyo, Rihanna nae amemwagia sifa kwa kipaji
alichonacho.
Kupitia Twitter, Wizkid ameeleza sifa alizopewa na Rihanna wakati akiwa studio akifanya kazi nyingine.
0 comments:
Post a Comment