Baada ya kutoa wimbo wake mpya ambao umetambulishwa wiki hii uliobatizwa
jina 'Walala Hoi' msanii Izzo Bizness aamua kuweka wazi kuhusiana na
swala zima la kufanya kolabo na kushoot videos na wasanii nchini.
Msanii wa bongo fleva Izzo Bizness
Izzo
Bizness ameongea na enewz juu ya zoezi hilo haswa ukizingatia asilimia
kubwa ya wasanii nchini huchaji kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya
kufanya colabo na kazi zingine za muziki.
0 comments:
Post a Comment