Friday, August 22, 2014

Angalia kionjo cha video mpya ya wimbo wa Linex, 'Wema Kwa Ubaya'

Angalia kionjo cha video mpya ya wimbo wa Linex,
Linex ameachia kionjo cha video ya wimbo wake mpya iliyoongozwa na Adam Juma wa kampuni ya Visual Lab; Next Level.
Enjoy huku ukisubiri video nzima hivi karibuni:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...