Saturday, August 23, 2014

Chibow afungua duka la nguo

Msani wa mziki wa kizazi kipya tanzania chiibow amefunguka kwa thade expensive leo kuwa kwasasa mziki una lipa na ameamua kufungua duka la nguo alilolipa jina la mtoto wa pwani classic wear.
Kwa mujibu wa chibow mwenyewe amesema kuwa duka hilo ni maalumu kwa nguo zote na lipo maeneo ya moshi bar gongo la mboto jijini dar na ni kwakuwa anapenda kuvaa na kwakuwa anatakuwa fanya wengine wapendeze pia.
Chibow amekuwa mmoja kati ya wasanii wa mziki wa bongo walio kwenye biashara ya nguo kama vile roma, izzo b na wengine pia.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...