Wednesday, August 20, 2014

Hali ya shule ya keko mwanga temeke

Huu ni mwonekano wa shule ya msingi keko mwanga iliyopo kwenye wilaya ya temeke mkoani daresalaam ni shule tangu mwaka 2002 haijawahi fanyiwa kuanzia ujenzi wa madarasa na madawati
Kwa mujibu wa mdau wa shule hiyo aliye ongea na thade expensive na kusema wazazi hawana mwamko mpaka kufikia kiasi cha wanafunzi kukaa chini pamoja na watoto wengine kushindwa kulipia hela ya mtihani na kufanya bodi iwalipie kuokoa jahazi.
Kingine ni kwamba shule imeanzisha mradi wa kulaza mgari ila bado hautoshi kuweza kukidhi mahitaji.
Miaka 50 ya uhuru wa tanzania bado wanafunzi shule za mjini tena katikati mwa mji zakaa chini

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...