Kim Kardashian West amekuwa mhusika kwenye kipindi cha usheshi cha 2 Broke Girls cha CBS, kitakachoruka October 27 mwaka huu.
Kim K ametangaza hatua hiyo kupitia akaunti yake ya twitter na
kueleza kuwa atacheza na waigizaji wa kike ‘Beth Behrs na Kat Dennings
0 comments:
Post a Comment