Lile kundi lililotamba miaka ya nyuma katika muziki wa Bongo Flava
ambalo liliwahusisha walemavu wenye vipaji wawili na kujipa jina Mabaga
Fresh, limeamua kuungana tena katika gemu kwa kuachia wimbo wao mpya.
DJ Snox amesema baada
ya kutengena kwa muda mrefu na mwenzake kujiunga na TMK Wanaume Halisi
na yeye kufanya kazi binafsi, wameonesha nia ya mashabiki wao kuwaona
tena pamoja ndio wameamua kuanza kufanya kazi pamoja.
Kundi hilo linaundwa na watu wawili ambao ni Dj Snox n JB mkubwa wa Majaji ambao walitamba na nyimbo kama Mtulize, Tunataabika, Hakuna Noma na nyingine kibao.
Sasa mashabiki wa TMK na Mabaga Fresh ndio ujio mpya tena na wimbo wao wa USIMPE POMBE.

0 comments:
Post a Comment