Wednesday, August 27, 2014

Paper work inakuja ya T.I

Album ya tisa ya mtu mzima T.i paper working anakaribia kutoka na usiku wa kuamķia leo ameachia cover art ya album hiyo na hii itajumuisha ngoma zote mpya na hit pia na kwenye insta amepost akiwa studio akimalizia ngoma na luda stay tune

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...