Friday, August 22, 2014

Video ya Nicki Minaj 'Anaconda' yavunja rekodi ya Vevo

rekodi ya Vevo kwa kuangaliwa zaidi ya mara Milioni 19.6 ndani ya saa 24 tangu ilipowekwa.
Video hii imeipiku video ya Miley Cyrus ‘Wrecking Ball’ iliyokuwa ikishika nafasi ya kwanza tangu mwaka 2013 kwa kuangaliwa zaidi ya mara 19.3 ndani ya siku moja ilipoachiwa.
Hadi sasa Anaconda imeshaangaliwa zaidi ya mara milioni 38.5 tangu ilipotoka rasmi August 19

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...