Friday, September 5, 2014

drake atajwa sana kwenye category za BET 2014

Drake aongoza orodha orodha ya wanaowania BET Hip Hop Awards 2014, angalia orodha kamili

Rapper wa Young Money, Drake ameongoza orodha ya wasanii wanaowania tuzo za hip hop zinazotolewa na kituo cha runinga cha BET mwaka huu (BET Hip Hop Awards 2014).
Katika orodha iliyotolewa na kituo hicho September 4, inaonesha kuwa Drake ametajwa kuwania vipengele 8 vikiwemo, Best Hip Hop Video (Worst Behavior), Best Live Performer , MVP of the Year, na People’s Champ Award (Worst Behavior).
Drake pia ametajwa kuwania tuzo ya albam bora ya mwaka (Nothing Was The Same) akichuana na Eminem (MMLP2), Future (Honest), Rick Ross (Mastermind), SchoolBoyQ (Oxymoron), na Yo Gotti (I Am).
Anafuatiwa na Jay Z, Future na Pharell Williams ambao wametajwa mara sita.
Hii ni orodha kamili ya nominees: 

Best Hip-Hop Video
Best Collabo, Duo or Group
Best Live Performer
Lyricist of the Year
Video Director of the Year
  • Benny Boom
  • Chris Robinson
  • Director X
  • Dre Films
  • Hype Williams
DJ of the Year
Producer of the Year
MVP of the Year
Track of the Year
Album of the Year
Who Blew Up Award
Hustler of the Year
Made-You-Look Award (Best Hip-Hop Style)
Best Club Banger
Best Mixtape
Sweet 16: Best Featured Verse
Impact Track
People's Champ Award

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...