Saturday, October 25, 2014

Jay z na beyonce wazima maneno ya watu

Baada ya kuenea kwa uvumi kwamba ndoa ya beyonce na jay z ipo matata na kwamba wanamepeana talaka na beyonce kulikanusha wameamua kuwaonyesha watu na mafuns wao kwamba bado wako pamoja na kuchukua uamuzi wa kufunga ndoa tena .

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...