Rihanna yuko kwenye siri kubwa sana ya kutengeneza album yake mpya ila kwa baahati mbaya playlist imevuja leo.
Album ya rihhana imetengenezwa studio tofauti na wasanii kibao wameshirikishwa kama vile Eminem, Drake, Big Sean and Nicki Minaj.
Playlist iliyo vuja hii hapa
1. Bold
2. Trouble
3. Ain’t No Drama
4. Barz (featuring Nicki Minaj)
5. A Drug & A Dream
6. All Night
7. Lovin, Fallin, Dyin
8. Tattered Heart
9. Real Talk (featuring Drake)
10. Hall of Flames
11. Pray 4 Life (featuring Big Sean)
12. Oceans
13. Veins
14. Lost Files (featuring Eminem.
0 comments:
Post a Comment