Friday, June 24, 2016

Habari mpasuko:joyce kiria apata ajali

Habari ziĺizo fikia meza ya tedvibes.com ni kwamba Mrs Kilewo  maarufu kama joyce Kiria amepata ajali akiwa njiani anakwenda Sumbawanga kwenye shughuli zake za  kazi yake,Kubwa tunamshukuru MUNGU sana kwa ulinzi wake ametoka salama

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...