Friday, June 24, 2016

Serikali yakusudia kufanya tafiti kwa kupima UKIMWI nyumba kwa nyumba

Inasemekana wataalam watapita nyumba kwa nyumba kwa lengo la kuwapima wananchi walioathirika ili kupata takwimu sahihi ya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...