BUSTA RHYMES
Busta Rhymes amefanya kolabo ya kwanza ya track, "Grow Up," wakati huo Mike Posner akichangia swala la katingi kwenye ngoma ya "With Ur Love."pamoja na ngoma "Beautiful People," kuna English rapa ambao ni Mic Righteous, Dot Rotten na Ghetts yeye kafanya kati ya"Dub on the Track.".
CHEKI LIST YA NYIMBO ZILIPO KWENYE ALBUM HIYO
1. 'GROW UP' FEAT. BUSTA RHYMES
2. 'WANT U BACK'
3. 'WITH UR LOVE' FEAT. MIKE POSNER
4. 'SWAGGER JAGGER'
5. 'BEAUTIFUL PEOPLE' FEAT. CAROLINA LIAR
6. 'PLAYA BOI'
7. 'SUPERHERO'
8. 'OVER THE MOON'
9. 'DUB ON THE TRACK' FEAT. MIC RIGHTEOUS, DOT ROTTEN + GHETTS
10. 'END UP HERE'
0 comments:
Post a Comment