Thursday, October 13, 2011

DRAKE AWAZUNGUMZIA LIL WAYNE & NICKI MINAJ


              drake, minaj na lil
“hawa waskaji zangu kiukweli kwenye hilikundi ni maonyesho coz kila mtu ana waiga kwa mfano lil whyne watu wanaiga jinsi anavyo ongea anavyojichora tattoo na pia jinsi anavyo tembea wakati nikkiminaji pia jinsi watu wanavyo iga nywele zake anvyo zitengeneza ndo maana nawaita kuwa ni maonyesho najivunia wao .
 Wakati huohuo lilwhyne amiuza kopi karibu million ya Tha Carter IV .

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...