Monday, October 10, 2011

MASUPERSTAR WANAOTAKIWA KUBADILISHA MAJINA YAO…..

EBUANGALIA HII LIST


                 YOUNG JEEZY
Young Jeezy  ANA UMRI WA MIAKA 34 NA ANATUMIA JINA KAMA HILI LA YOUNG NA UKUBWA WOTE HUU.NA NI MKALI WA HIPHOP.
                          LIL Wayne
Wayne NAYE PIA ANATAKIWA KUBADILISHA JINA NAKUONYESHA KUWA AMEKUWA NOW KWANI JINA LAKE HALIENDANI NA UMRI WAKE KWANI AMEANZA KUTUMIA JINA HILI TANGU AANZE KUIMBA MPAKA LEO .
 
                             FAT JOE
Inasemekana jamaa alikuwa mnene tangu skul  akapewa jina hilo. Anapoteza  takribani pound 100 kupoteza unene huo lakini bado anatumia jina hilo ambalo maana yake ni "big man."
 

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...