Thursday, October 13, 2011

NAS ASHEREKEA MIAKA 20 TANGU AANZE HIP-HOP


Jamaa amefunguka kuwa ametimiza miaka 20 tangu aingie kwenye game hii ya hiphop na alipo ingia alikuwa na umri wa miaka 12 tu na album yake ilikuwa ya kwanza inaitwa The Queensbridge poet,na kufuatwa na nyengine kama vile Life Is Good, ambayo ilifanya vizuri 1991.
Ameongeza kuwa album ya god son ndiyo album aipendayoikifuatiwa nay a street displen anajivunia hilo amesema. 

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...