Thursday, October 13, 2011

NDANI YA MJI WA MOSHI



Wafanyabiashara wa soko la mbuyuni moshi mjini wakisikiliza kwa makini maelekezo muhimu juu ya soko hilo pia waliongelea miundo mbinu ya soko hilo punde mvua zinaponyesha kutoka kwa viongozi wa soko hilo na Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini Bw.Jafarry MICHAEL.
Hii ndio hali halisi ya katikati ya soko la mbuyuni mvua zinyeshapoooo alafu angalia vyakula viko…….hizooo mbogamboga dah!!!!!!alafu mauzo kama kawaida jamani meya nafuu umeliona hilo lifanyiwe kazi.
                 
NA MWANDISHI WETU VIOLETH                                     
 Leo ilikuwa ni siku ambayo makamanda waliofanya vizuri  kupewa haki yao ya msingi na waziri wa mambo ya ndani ya nchi mh.shamsh vuai nahodha katika chuo cha ccp moshi.
                                     
Hawa   ndio maafisa 9 waliofuzu mafunzo ya wakaguzi wasaidizi wa polisi na kutunikiwa vyeo na zawadi na waziri wa mambo ya ndani ya nchi mh.shamsi vuai nahodha.        
          

         hapa wakivishwa nyota zao    
MUDA ULIPOFIKA WAKUONYESHA MAKALI WAWAPO KAZINI HAWA HAPA WALE WAREKEBISHA TABIA(FFU) CHEKI HIYO EBU JARIBU KUFUNGUA KINYWA OVYOOVYO UJIONEEEE....HAYA WAZEE KAZI NJEMA YA KUDUMISHA AMANI YA TAIFA LETU.              
                                                         
       

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...