SNOOP DOGG
AMESEMA KUWA ALBUM YA DR.DRE KAMA IPO TAYARI IMEKWISHA NA INAKWENDA KWA JINA LA “DETOX”
AMEFUNGUKA ZAIDI NAKUSEMA TUMEJITAHIDI KUFANYA KAZI USIKU NA MCHANA KUFANIKISHA HILO NA TUMEMALIZA NA ITAACHIWA SIKU SI NYINGI NA NDANI YAKE KUMESHIRIKISHWA WASANII KIBAO.
0 comments:
Post a Comment