KAMA TUJUAVYO KUWA MJI WA MOSHI NI MJI MSAFI SANA ILA SIRI YA USAFI HUU HII HAPA LAIVU KWENYE KAMERA YA
THENORTHENZONE STOME.
Thubutu kutupa hata kucha uone utajicheki…………
hawa ni askari wa mji wakisubiri raia yeyote atakayedondosha uchafu...
Hali inazidi kuwa mbaya eneo hili la barabara mbili alimaarufu kama“DOUBLE ROAD”MJINI MOSHI……..
HAPA NI WAKATI UNATOKEA SOKO LA MBUYUNI kuelekea stand kuu ya mabasi………..
HII HAPA NI WAKATI UNATEREMKA KUTOKA SOKO LA KATI la moshi……..
NA HII NI WAKATI UNATOKEA STAND KUU YA mabasi ya MOSHI MJINI…..
Umeonaeee hakuna hata alama ya kuonyesha kwamba kuna shimo kama hili kitendo ambacho ni hatari sana jamani tunawaomba wahusika walifungulie macho hili wekeni hata kitambaa kikubwa chekundu kama majani inashimdikana…
0 comments:
Post a Comment