Live kutoka kwenye semina ya mamodel kanda ya kaskazini wito umetolewa kwa wana mitindo na model neema maleso kuwa kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa wasani na wanamitindo wamekuwa wanalaumiwa kwa mavazi kutokuwa na maadili na nikitu kinacho shusha hadhi ya msanii kuitwa kioo cha jamii badala yake watu wanatakiwa kubadilika na kusisitiza vazi la taifa kuwa wazi na watanzania waweze kujivunia vyao
0 comments:
Post a Comment