Mrembo Diana Festo ndiye amebuka mshindi wa taji katika Shindano kubwa
kabisa la Nice and Lovely Miss Tanga 2014, sambamba na zawadi nono ya
Gari aina ya Vits.
Miss Tanga 2014 Diana Festo
Shindano
hilo limefanyika kwa mafanikio makubwa katika mchuano mkali kabisa wa
warembo 14, ambapo pia mrembo Noon Juma ndiye aliyeshikilia nafasi ya
pili, akifuatiwa na Vanessa Charles katika nafasi ya tatu na kutoka
Tanga Mkonge Hotel, hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.
Shindano lilihudhuriwa na ugeni mzito wa Mkuu wa wilaya ya pangani Hafsa Mtasiwa, kama mgeni rasmi pamoja na kutiwa nakshi na burudani kutoka kwa Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Kopa.
Shindano lilihudhuriwa na ugeni mzito wa Mkuu wa wilaya ya pangani Hafsa Mtasiwa, kama mgeni rasmi pamoja na kutiwa nakshi na burudani kutoka kwa Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Kopa.
0 comments:
Post a Comment